Hii ni moja kati ya harusi nilizosheheresha, ilikuwa ni harusi ya kijeshi. Ni ma Mc wachache sana wenye uwezo wa kuendesha sherehe kama hizi. Hii inaonesha ni jinsi gani Mc Mbogoro yupo fiti kwa uendeshaji wa sherehe za aina zote. TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

0 comments:

Post a Comment

 
Top