Tembelea bustani ya wanyama iliyoko  Manispaa ya Songea klomita takribani 5 tu kutoka mjini Songea, Hapo utakutana na nyani  Moja ya tabia yake ana wivu sana ukiwa umeenda namkeo uatjionea pundamilia wanyama wadogo kama vile swala pia utajionea mapango ambayo nimakazi ya nyoka aina ya chatu  aidha karibuni kwa utalii wandani

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

 
Top